Show simple item record

dc.contributor.authorAlexander, Andy, S.J.
dc.contributor.authorWaldron, Maureen McCann
dc.date.accessioned2018-02-08T21:40:01Z
dc.date.available2018-02-08T21:40:01Z
dc.date.issued2000-01-01
dc.identifier.urihttp://hdl.handle.net/10504/116828
dc.description.abstractJUMA LA PILI|Hadithi ya Maisha Yetu: Kuingia Zaidi Ndani Yake|Mwongozo: Kuangalia kwa Makini Zaidi Hadithi za Maisha Yetu| Kama tulivyopitia “kitabu cha picha” cha hadithi za maisha yetu wiki iliyopita, zimetujia kumbukumbu ambazo zimetuonyesha uwepo wa Mungu katika safari ya maisha yetu hapa duniani. Zoezi letu juma hili litatusaidia kuingia zaidi ndani ya hadithi za maisha yetu.|Njia mojawapo nzuri ya kupenya ndani zaidi katika hadithi za maisha yetu ni kujiuliza na kujibu maswali yaliyo muhimu. Ni kweli tunaendelea kufanya mafungo haya ya kiroho kwa mtandao kati ya maisha yetu yenye harakati na changamoto nyingi katika juma hili na tutaendelea kuweka taswira fulani katika akili na mioyo yetu iwe “dirisha” kupitia kwalo tunaangalia na kutafakari juma zima, kama vile tulivyofanya katika juma la kwanza (angalia Zana za Kukusaidia Kuanza Juma Hili). Maswali haya muhimu ni rahisi kuyakumbuka na ni muhimu kwa kututayarisha kwa majuma yanayofuata. Kama jinsi Mungu “alivyotuunga pamoja tumboni mwa mama zetu,” kama ituambiavyo Zaburi ya 139, kadhalika matukio mbalimbali na yale tunayotutokea katika maisha yetu huendelea kutufanya kuwa watu tulio leo hii.|Maandiko Matakatifu:|Isaya 49:14-16|Hosea 11:1-4|Zaburi 23en_US
dc.language.isoen_USen_US
dc.publisherCreighton University, Online Ministriesen_US
dc.subject.otherKiswahili Language
dc.titleThe Week 2 Guide: Juma 2en_US
dc.typeText
dc.publisher.locationOmaha, Nebraska, United States
dc.description.noteActual date of publication unknown. The date in dc.date.issued is arbitrary and used because a date is required for indexing
dc.relation.nexthttp://hdl.handle.net/10504/116829
dc.relation.previoushttp://hdl.handle.net/10504/116827


Files in this item

Thumbnail
Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record